Software developers wenye sifa zifuatazo wanahitajika:

Ujuzi wa kutengeneza application za simu kwa kutumia React Native

Ujuzi wa kutengeneza website kwa kutumia React

Ujuzi wa Nodejs

Kama unajua unasifa au unamfahamu mwenye sifa hizo(tafadhali mjulishe), tuma application ukiambatanisha na mifano ya application/website ulizozitengeneza pamoja na karidio la msharaha wako kwenda business@takeer.com

Nafasi hizi ni za ghafla, hivyo tuma application haraka.

Ahsante.